1 Chronicles 22:2

Maandalizi Kwa Ajili Ya Hekalu

2 aKwa hiyo Daudi akatoa amri wakusanyike wageni wote waliokuwa wanaishi Israeli, na kutoka miongoni mwao akaweka waashi ili kuchonga mawe kwa ajili ya kujenga nyumba ya Mungu.
Copyright information for SwhNEN